- 861 viewsDuration: 55sAnaniambia babu yangu kuhusu kisa kimoja cha mtoto mmoja na baba yake. mtoto alipoamka asubuhi akamwambia baba, jana usiku niliota mimi na wewe tuko mbinguni, tukaambiwa kila mtu aandike dhambi zake huku duniani....halafu? kijana akaanza kutabasamu akasema, tulipokuwa tukiandika dhambi zetu, wewe ukaitisha karatasi nyengine dhambi zako zilikuwa nyingi....baba akacheka, akasema ah wachana na hayo, hizo ni ndoto tu. yatafakari hayo