Mtoto wa miaka mitatu alijeruhiwa na jiwe, Syokimau

  • | Citizen TV
    2,793 views

    Mtoto wa miaka mitatu na yaya wake waliponea kifo katika eneo la Syokimau baada ya kuangukiwa na mawe kutoka kwenye nyumba inayojengwa sehemu hiyo. Haya yalitokea baada ya jumba hilo kuporomoka na kugonga paa la nyumba yao. Hata hivyo, imebainika kuwa ujenzi wa nyumba hii uliendelea licha ya kusitishwa na mamlaka ya kitaifa ya ujenzi.