Barabara nyingi za jiji la Nairobi ziko kwenye hali mbaya

  • | Citizen TV
    605 views

    Kwa siku nyingine tena, wakazi wa Nairobi wameendelea kulalamikia hali mbaya ya barabara nyingi jijini. Katika pitapita zaidi za wanahabari wetu, imebainika kuwa si mashimo tu bali pia barabara nyingi zina hatari kutokana na ubovu wake.