Mwanafunzi a gredi ya saba Alana Chelagat ahudhuria kongamano la mataifa kuhusu mabadiliko ya hewa

  • | Citizen TV
    369 views

    Mwanafunzi Wa Gredi Ya Saba Kutoka Kenya Ni Miongoni Mwa Wajumbe Wanaohudhuria Kongamano La Umoja Wa Mataifa Kuhusu Mabadiliko Ya Hali Ya Hewa Jijini Baku Azerbaijan Ambapo Amesisitizia Wito Wa Fedha Za Kufadhili Mbinu Za Kupambana Na Mabadiliko Ya Hali Ya Hewa.