IGAD yataka wanawake kujitokeza kugombea nyadhifa za uongozi miongoni mwa mataifa wanachama

  • | Citizen TV
    100 views

    Halmashauri Ya Maendeleo Kati Ya Mataifa Mbalimbali Igad Imewataka Wanawake Kujitokeza Kugombea Nyadhifa Za Uongozi Miongoni Mwa Maitaifa Wanachama Ili Kukabiliana Na Changamoto Za Kiusalama Na Ukosefu Wa Amani.