Wachimbaji wa chokaa wataka serikali iondoe marufuku

  • | Citizen TV
    124 views

    Wafanyabiashara wa madini ya chokaa pamoja na wenyeji wa Ramei katika kaunti ya Garissa, sasa wanataka serikali kuondoa marufuku iliyowekwa kwenye uchimbaji wa madini hayo baada ya utulivu na amani kurejea kwenye maeneo yaliyokubwa na mizozo ya ardhi baina jamii mbili.