Vikao vya umma vimeendelea leo Mombasa na Siaya

  • | Citizen TV
    269 views

    Vikao vya umma kuhusu marekebisho ya sheria za ushuru viliendelea leo katika kaunti za Mombasa na Siaya ambako wakaazi wengi walipinga marekebisho haya. Wakenya waliohudhuria vikao hivi walisema kuongeza ushuru sasa ni usaliti kwa maamuzi ya awali ya kuondoa mswada wa fedha wa mwaka 2024.