Wakazi wa Katome na Kitia huko Machakos wapata maji

  • | Citizen TV
    67 views

    Wanachama zaidi ya 29,000 kutoka kaunti saba zinazopatikana mashariki mwa Kenya watanufaika kupitia mradi wa maji wa hand in hand east Africa unaotarajiwa kuinua biashara na kuleta maendeleo katika maeneo hayo.