Polisi wawakamata washukiwa wa wezi wa vipuri vya magari Kajiado

  • | Citizen TV
    1,034 views

    Polisi mjini Kajiado wamewakamata washukiwa watano ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakazi Kwa kuiba vipuri vya magari.