- 5 views
Wahudumu wa afya wa kijamii wana jukumu muhimu la kutekeleza katika usajili wa raia kwa mpango wa bima ya afya ya jamii. Wahudumu hao watahitajika kutoa uhamasisho nyanjani kwa wananchi ili kuhakikisha idadi ya waliosajilia inaongezeka. Katibu katika idara ya afya ya umma Mary Muthoni amesema bima hiyo mpya ina manufaa mengi kwa Wakenya ikilinganishwa na ile iliyokuwepo ya NHIF. Alihimiza wahudumu wa afya wa kijamii kuendeleza kampeni ya kuwashawishi Wakenya kujiunga na mpango huo kuhakikisha hakuna atakayeachwa nyuma.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Wahudumu wa afya nyanjani kutoa uhamasisho wa bima ya SHA
- 20 Jun 2025 - Russia on Thursday warned the United States not to take military action against Iran, amid speculation over whether Washington would enter the war alongside Israel.
- 20 Jun 2025 - Kenya’s Ministry of Public Service and Human Capital Development issued a directive recently, giving senior civil servants to attain master’s degrees in two years or lose their jobs. The directive affecting senior officers of grade CSG5 and above,…
- 20 Jun 2025 - President William Ruto’s admission that his communication team may not align with his desires rings true. The Albert Ojwang tragedy offered an opportunity for emotional public engagement during collective national grief, an opportunity the president…
- 20 Jun 2025 - The findings of the Council of Governors (CoG) through the Cost of Hunger in Africa (COHA) study are not merely statistics – they are a national call to action. Undernutrition, particularly among children under the age of five, is not only killing our…
- 20 Jun 2025 - Why it's time for urgent reforms in Kenya's sports sector
- 20 Jun 2025 - 'Small Faith' eyes big show in Paris Diamond League tonight
- 20 Jun 2025 - Eight new GMO cassava varieties set for final trials
- 20 Jun 2025 - UoN, Taifa Hall: Site of departure, site of return for Ngugi wa Thiong'o
- 20 Jun 2025 - Court refers Omtatah odious debts petition to Chief Justice
- 20 Jun 2025 - Murkomen to face MPs over controversial IPOA report on Ojwang' death