Wananchi wanasema serikali haijatekeleza ahadi zake

  • | Citizen TV
    1,525 views

    Wakenya wana matarajio tofauti kuhusu hotuba ya rais kwa bunge. Baadhi wanaikosoa serikali kwa kutotimiza ahadi zake, huku wengine wakitaka uwajibikaji zaidi.