- 287 viewsDuration: 1:54Marafiki wa aliyekuwa Kinara wa Chama cha ODM, marehemu Raila Odinga, katika kaunti ya Trans Nzoia, wakiongozwa na aliyekuwa Waziri wa Misitu Daktari Noah Wekesa na Askofu mstaafu wa kanisa la AIC Silas Yego, wameendelea kumwomboleza na wamemsifu Odinga kwa kuwa kiongozi asiyejua ufisadi na mwenye maono ya kitaifa.