21 Oct 2025 10:16 am | Citizen TV 523 views Duration: 1:34 Gavana wa Kaunti ya Nandi, Stephen Sang, amesema kuwa ushirikiano unaoendelea kuimarika kati ya vyama vya UDA na ODM utaendelea hata baada ya kifo cha kinara wa chama cha ODM Raila Amolo Odinga.