21 Oct 2025 10:19 am | Citizen TV 325 views Duration: 2:22 Gavana wa Kwale Fatuma Achani aliongoza viongozi wa Kaunti hiyo kumuomboleza hayati Raila odinga katika sherehe za mashujaa za kaunti hiyo katika Shule ya Msingi ya Tiribe Wadi ya Mkongani huko Matuga.