Skip to main content
Skip to main content

Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohammed Noor aliwaongoza wakazi katika kuadhimisha sherehe za mashuja

  • | Citizen TV
    296 views
    Duration: 1:34
    Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohammed Noor aliwaongoza wakazi katika kuadhimisha sherehe za mashujaa, huku akielezea kuwa serikali imetambua mchango wa mrehemu raila Odinga kwa kumtunuku kama shujaa wa hadhi ya juu zaidi nchini.