Skip to main content
Skip to main content

Mahakama mjini Malindi yafutilia mbali rufaa ya kampuni ya Amu Power

  • | Citizen TV
    177 views
    Duration: 2:31
    Mahakama ya ardhi na mazingira mjini Malindi imefutilia mbali rufaa iliyowasilishwa na kampuni ya Amu Power kupinga uamuzi wa mwaka 2019 wa jopo la mazingira lililobatilisha kibali cha tathimi ya mazingira kuhusu mradi wa kawi ya makaa uliokuwa uanzishwe kaunti ya Lamu.