- 711 viewsDuration: 1:53Huku shule zikiandaa wanafunzi wao kufanya mtihani wa gredi ya sita na tisa wiki ijayo, wadau wa elimu wakiwemo walimu na wazazi wameitaka serikali kufutilia mbali marufuku ya mabasi ya Shule kusafirisha wanafunzi msimu huu wa zoezi hilo.