- 3,265 viewsDuration: 3:19Hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga ametuzwa hadhi ya juu zaidi kwenye sherehe za mwaka huu za Mashujaa. Rais William Ruto akimpa hadhi ya juu zaidi ya Golden Heart kwa mchango wake kwa Kenya. Ruto aliongoza sherehe za Mashujaa kwa kukumbuka mchango wa Raila kwa taifa.