Skip to main content
Skip to main content

Kaunti zaadhimisha kwa kumkumbuka Raila Odinga

  • | Citizen TV
    7,108 views
    Duration: 3:49
    Bendera zilipeperushwa nusu mlingoti kwenye sherehe za mashujaa kaunti mbali mbali, ambapo kauli mbiu ilikuwa kwa wakenya kuiga aliyowacha hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga. Vile vile, magavana wa chama cha ODM walichukua fursa hiyo kutilia mkazo azma ya chama hicho kuunda serikali ijayo.