Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya wakenya 180 watuzwa Mashujaa mwaka huu

  • | Citizen TV
    547 views
    Duration: 4:25
    Zaidi ya wakenya 180 wametuzwa kama mashujaa kwenye sherehe ya mwaka huu ya mashujaa. Miongoni mwa waliotuzwa ni wachezaji wa harambee stars, wasanii waliotia fora kwa miziki yao na waja-siri-amali. Hapa runinga ya Citizen, mwanahabari mwenza Mwanahamisi Hamadi pia ametuzwa kwa kuangazia maswala ya wanawake kupitia kipindi chake cha Mwanamke Bomba.