Mkutano wa ulinzi wa mazingira wafikia maazimio Kigali, Rwanda
Je, mashirika na jumuiya za watu wa kiasili wanapokea ufadhili uliowekezwa barani afrika? Je kutakuwa na afueni katika kongamano la maeneo yaliyolindwa APAC, Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Hubbah abdi kutoka Kigali Rwanda katika kongamano linaloendelea la APAC mashirika ya kijamii yanatatizika kukuza au
kuongeza fedha zao kwa sababu ya vizuizi vilivyojengwa ndani na changamoto katika jinsi yanavyofadhiliwa.
PKG: Mombasa Chef
Kutambuliwa kwa Kiswahili kama lugha moja ya lugha muhimu duniani kumeanza kuonyesha faida zake huku wajasiria mali mbali mbali wakitumia fursa hiyo kujiendeleza kutangaza na kuuza tamaduni za waswahili.
Ripota wetu wa Mombasa Salma Mohamed amemfuatilia mpishi mchekeshaji jamilla Kizondo ambaye anatumia Kiswahili katika biashara za vyakula vya kitamaduni akiwa Marekani, Sasa yuko nyumbani Kenya!.
PKG: DRC Business
Mjini Goma kivu Kaskazini wakazi wanaomba suluhisho kuhusu mzozo kati ya DRC na Rwanda na tatizo la wapiganaji wa M23 ambao wamesababisha maisha kuwa magumu kutokana na mpaka kati ya Uganda na DRC kufungwa tangu waasi waudhibiti mji wa Bunagana. Mwandishi wetu wa DRC Austere Malivika ana ripoti zaidi.
PKG: Sports:
Basi ikiwa ni siku ya Ijumaa, mwanamichezo wetu Idd Ligongo ametukusanyia yale yanayoendelea viwanjani
3 May 2024
- Education CS Ezekiel Machogu has cleared up the confusion over students already in school and issued a timeline for assessing schools.
3 May 2024
- Education CS Ezekiel Machogu has cleared up the confusion over students already in school and issued a timeline for assessing schools.
3 May 2024
- In this newsletter, we explain the snarl-up that was experienced at the JKIA entrance on Thursday.
4 May 2024
- Heavy rains battering Brazil's southernmost state of Rio Grande do Sul have killed 31 people, local authorities said on Friday, and the death toll is expected to rise as dozens still have not been accounted for.
4 May 2024
- At least nine people, including seven children, were killed on Friday in a strike at a displacement camp in the eastern Congolese city of Goma, a local official and a military spokesman said.
4 May 2024
- Confusion in Kenya Kwanza ranks worrying
4 May 2024
- Big challenge of our democracy is not longer terms for leaders
4 May 2024
- Floods are the world's wake-up call to craft proactive responses
4 May 2024
- Coast braces for strong winds and powerful waves
4 May 2024
- Ruto snubs Machogu, postpones reopening of schools
4 May 2024
- Cyclone Hidaya might be kind on Kenya but prepare for more rains
4 May 2024
- Court blocks senators' Sh500m oversight fund, calls for new rules
4 May 2024
- Tropical Cyclone Hidaya is expected to hit the country any time from the Indian Ocean with strong winds experienced for the better part of Friday evening.