- 60 views
Vita dhidi ya dhuluma za kijinsia na unyanyasaji vimepigwa jeki katika eneo la gede kaunti ya kilifi baada ya shirika la kimataifa la kupigania haki - ijm kuzindua ofisi maalum ya kuripoti visa hivyo. kulingana na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo aggrey juma, afisi zitasaidia pakubwa waathiriwa kutoa taarifa pasi na hofu na kwa faragha wanapohudumiwa na maafisa wa polisi wanaosimamia vituo hivyo. kamanda wa polisi kaunti ya kilifi joseph ongaye amewarai wananchi kuripoti visa vya dhuluma kwa watoto na wanawake bila hofu yoyote.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Vita dhidi ya dhuluma za kijinsia na unyanyasaji yapigwa jeki Kilifi
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
- 12 Aug 2025 - KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
- 12 Aug 2025 - Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
- 12 Aug 2025 - Ruto puts banks to task over constant high lending rates
- 12 Aug 2025 - Unbowed Lagat returns despite murder probe
- 12 Aug 2025 - Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
- 12 Aug 2025 - How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
- 12 Aug 2025 - DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens
- 12 Aug 2025 - Farmers win round one as court halts duty-free rice importation
- 12 Aug 2025 - Fertiliser subsidy: A double-edged sword driving firms out of business