- 224 views
mawaziri wawili wa kaunti ya nandi, mhandisi drice rono wa wizara uchukuzi na ujenzi na daktari ruth koech wa wizara ya afya, wamejiuzulu kabla ya mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyoamriwa na gavana stephen sang. uamuzi huu unafuatia ripoti ya kamati iliyochunguza utekelezaji wa miradi na matumizi mabaya ya fedha za umma katika kaunti hiyo. ripoti hiyo iliondolewa bungeni baada ya vurugu kati ya wawakilishi wadi wakati wa kupigiwa kura. gavana sang ameahidi kuboresha huduma za wakazi wa nandi licha ya changamoto za kisiasa.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Mawazri wawili wa Nandi wajiuzulu kabla ya mabadiliko ya baraza la mawaziri yaamuriwa na Gavana
- - Duniani Leo ››
- 26 Jun 2025 - Ecuador's president announced Wednesday that the country's most-wanted fugitive, Los Choneros gang leader "Fito," had been recaptured over a year after his escape from prison triggered a wave of violence.
- 26 Jun 2025 - The protests spread across the country to mark the one-year anniversary of the June 25, 2024, victims.
- 26 Jun 2025 - A fire engine from the local county government managed to put out the fire when the body of the woman was discovered.
- 26 Jun 2025 - “The world is watching, and Africa is watching,” the EFF said.
- 26 Jun 2025 - Similar projects and upgrades have begun in Lari, Juja and Limuru.
- 26 Jun 2025 - The boy had been missing, prompting a search at the compound.
- 26 Jun 2025 - The protests lasted the whole day, with police and protesters engaging in running battles and never ending chaos.
- 26 Jun 2025 - Kisima Declaration: The girls caught between two worlds: Why Samburu's fight against FGM is creating new divisions
- 26 Jun 2025 - The lobbies say other than tourism, it protects endangered species and supports biodiversity.
- 26 Jun 2025 - Wheels of Justice: Court stories lined up for today.