21 Oct 2025 1:37 pm | Citizen TV 983 views Duration: 2:23 Gavana wa Kwale Fatuma Achani aliongoza viongozi wa Kaunti hiyo kumuomboleza hayati Raila odinga katika sherehe za mashujaa za kaunti hiyo katika Shule ya Msingi ya Tiribe Wadi ya Mkongani huko Matuga.