- 394 viewsDuration: 2:25Idara ya Mahakama imepanga kuzindua Mfumo wa Haki Mbadala katika Kaunti ya Kericho kama sehemu ya juhudi zake za kupunguza msongamano wa kesi mahakamani na kurahisisha upatikanaji wa haki kupitia mbinu za upatanisho katika ngazi ya jamii.