21 Oct 2025 1:33 pm | Citizen TV 966 views Duration: 1:54 Gavana wa Busia Paul Otuoma amewafokea vikali maseneta hasa wa kamati ya uhasibu kwa kumdhalalisha wakati wa vikao vya seneti mashinani vilivyokuwa katika bunge la kaunti hiyo mapema mwezi huu wa Oktoba.