Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Nandi asema muungano wa kisiasa hautayumba

  • | Citizen TV
    1,504 views
    Duration: 1:30
    Gavana wa Kaunti ya Nandi, Stephen Sang, amesema kuwa ushirikiano unaoendelea kuimarika kati ya vyama vya UDA na ODM utaendelea hata baada ya kifo cha kinara wa chama cha ODM Raila Amolo Odinga.