Skip to main content
Skip to main content

Raila apongezwa Trans Nzoia kwa juhudi za usawa na kupinga ufisadi

  • | Citizen TV
    419 views
    Duration: 1:53
    Daktari Noah Wekesa na Askofu mstaafu wa kanisa la AIC Silas Yego, wameendelea kumwomboleza na wamemsifu Odinga kwa kuwa kiongozi asiyejua ufisadi na mwenye maono ya kitaifa. Wekesa amesema Raila alikuwa kiongozi aliyepigania haki na maslahi ya mwananchi wa kawaida, jambo lililomfanya adumu kwa muda mrefu katika siasa za Kenya. Kwa upande wake, Askofu Yego amemkumbuka Hayati Raila kama kiongozi wa upinzani aliyekuwa na moyo wa upendo na uwezo wa kusamehe kwa haraka bila chuki.