21 Oct 2025 1:49 pm | Citizen TV 795 views Duration: 1:15 Wakazi wa Sabaki katika Athi River, Kaunti ya Machakos, wamewaonya wanasiasa dhidi ya kujipatia sifa kwa miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na jamii.