- 608 viewsDuration: 2:25Mahakama ya ardhi na mazingira mjini Malindi imefutilia mbali rufaa iliyowasilishwa na kampuni ya Amu Power kupinga uamuzi wa mwaka 2019 wa jopo la mazingira lililobatilisha kibali cha tathimi ya mazingira kuhusu mradi wa kawi ya makaa uliokuwa uanzishwe kaunti ya Lamu.