- 218 viewsDuration: 2:29Kutokana na kiangazi kinachoshuhudiwa katika kaunti ya Lamu, mgogoro kati ya wakulima na wafugaji umeibuka. Onyo kali limetolewa kwa wale wanaovunja sheria na kuleta uhasama kati ya pande hizi mbili katika maeneo ya Witu, Lamu.