21 Oct 2025 1:51 pm | Citizen TV 245 views Duration: 2:02 Wakulima wa chai wamehimiza serikali kupitia wizara ya kilimo kutafuta njia za kuongeza thamani ya chai ya Kenya ambayo itavutia soko bora za kigeni na kuleta faida zaidi kwa wakulima.