Watanzania wapiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa

  • | BBC Swahili
    593 views
    Watanzania hii leo wanapiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Wapiga kura wanapiga jumla ya kura sita; Wajumbe kundi la wanawake 2, Wajumbe kundi mchanganyiko 3, na Mwenyekiti wa Mtaa 1. Mwandishi wa BBC Sammy Awami ametembelea moja ya kituo cha kupigia kura - - - #bbcswahili #tanzania #uchaguzi2024 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw