Kanisa Katoliki lasema linasubiri mwelekeo wa kurudisha pesa zilizochangwa kanisano Soweto

  • | Citizen TV
    2,472 views

    Jioni ya leo, Viongozi wa kanisa katoliki wanashikilia kuwa bado wanasubiri mwongozo wa serkali kuhusu watakavyorejesha shilingi milioni 5.8 zilizotolewa na Rais William Ruto na viongozi wengine katika kanisa la Soweto mapema mwezi huu. Askofu Mkuu wa kanisa Katoliki jimbo la Nairobi Phillip Anyolo akisema kuwa kamwe hawatakubali mchango wa viongozi wasioweza kueleza chanzo cha pesa hizo.