KMPDU umeeleza kutoridhishwa na malipo ya Sh765.9m zilizotolewa na serikali

  • | NTV Video
    181 views

    Muungano wa madaktari KMPDU umeelezea kutoridhishwa na malipo ya shilingi milioni 965 nukta 9 zilizotolewa na serikali kwa zaidi ya wahudumu 4,700 wa matibabu, ukisema kuwa kiasi hicho hakiendani na masharti yaliyokubaliwa na serikali.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya