'Familia yangu ilikuwa maskini sana'

  • | BBC Swahili
    510 views
    Mkenya Emmanuel Wanyonyi, alilazimika kuacha shule akiwa na umri wa miaka 10 na kuanza kufanya kazi ya kulisha ng'ombe kwa muda mrefu. Lakini baadaye alifanikiwa kurejea na kuendelea na elimu kupitia kipato alichookusanya katika vibarua alivyofanya Kujituma kwa Wanyonyi na ushupavu wake alianza kushiriki mashindano ya kanda nchini Kenya na kufikia hadi kiwango cha ubingwa wa Olimpiki. Je safari yake ilikwaje? #bbcswahili #kenya #olimpiki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw