21 Oct 2025 7:52 pm | Citizen TV 1,643 views Duration: 2:10 Kenya na Senegal zimetia saini makubaliano ya pamoja ambayo yatawaruhusu raia wa nchi zote mbili kusafiri mataifa hayo bila visa. Mkataba huo, ulitiwa saini leo katika ikulu ya Nairobi