- 10,396 viewsDuration: 3:55Uchunguzi wa watu waliofariki uwanja wa Kasarani na ule wa nyayo wakati wa maombolezi ya marehemu waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, umethibitisha kuwa walifariki kwa mtutu wa bunduki. Risasi zilizopatikana kwenye miili ya Evans Kiche pamoja na Vincent Otieno Ogutu zimekabidhiwa mamlaka ya IPOA kwa uchunguzi zaidi. Hata hivyo, mwili mmoja umesalia makafani ya city bila kutambuliwa