- 1,094 viewsDuration: 2:56Shinikizo zimeendelea kutaka kuachiliwa kwa wakenya wawili wanaozuiliwa nchini Uganda huku mashirika ya haki ya humu nchini yakianzisha kampeni kumtaka Rais Yoweri Museveni wa Uganda kuwaachilia. Chama cha mawakili nchini LSK kikiongoza kampeni hii inayotaka shinikizo zaidi dhidi ya serikali ya Museveni.Haya yamejiri huku kesi ya kutaka kuwasilishwa kwa wawili hao kortini ikiahirishwa hadi kesho nchini Uganda