Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma waingia siku ya 34

  • | Citizen TV
    611 views
    Duration: 3:17
    Mgomo wa wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma nchini umeingia siku ya 34, huku wahadhiri wa chuo kikuu cha kiufundi (TUK) wakianza mgomo wao. Wahadhiri 40 wanaoshiriki mgomo wa kitaifa katika chuo hicho wamekabidhiwa barua za kuwasimamisha kazi na kufungiwa nje. Wahadhiri hao wanalalamikia kutolipwa kikamilifu mishahara yao ya Julai