Mjadala dhidi ya mswada dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia unaendelea bungeni

  • | NTV Video
    71 views

    Mswada unaofadhiliwa na mwakilishi wa wanawake kaunti ya kisii Dorice Aburi, unaonuiwa kuzuia unyanyasaji wa kijinsia na ambao utatoa adhabu kali unaendelea bungeni.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya