Matabibu nchini waandaa maandamano kupinga ubaguzi kutoja baraza la SHA

  • | NTV Video
    291 views

    Matabibu nchini wameandaa mgomo wakipinga kile wanachodai ni ubaguzi kutoka baraza la SHA. Wanasema mwenyekiti wa baraza hilo ,Abdi Mohammed amesimamisha kusajiliwa kwa hospitali zinazoongozwa na matabibu akisema lazima hospitali zote ziwe zimesajiliwa chini ya KMPDC kwanza.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya