Bandari FC inaanza kutumia uwanja wa Mbaraki baada ya Michezo ya EAC

  • | NTV Video
    248 views

    Bandari FC inatarajia kuanza kuutumia uwanja wake wa Mbaraki punde tu baada ya kumalizika kwa Michezo ya mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoanza rasmi Jumamosi hii.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya