Familia moja Nakuru yasherekea maisha ya nyanya yao walifariki na umri wa miaka 114

  • | NTV Video
    289 views

    Familia moja huko Nakuru magharibi ilikata keki kusherehekea miaka ambayo nyanya yao Chepngong Chumo aliishi duniani. Ajuza Chumo alikuwa na umri wa miaka 114 alipoaga dunia, wiki iliyopita. Na kama inavyoaarifu familia yake, Imani ya Chumo ilikuwa kila kitu kwake. Hilo ndilo lililomfanya aendelee katika nyakati ngumu, na pia alikuwa na utu huku akisaidia wale wasiojiweza. Rose Wangui ana maelezo zaidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya