Wakazi wa Baringo watenga ardhi ya ekari 13000 kama njia kukabiliana na ukosefu wa usalama

  • | NTV Video
    199 views

    Eneo la mukutani, Baringo ya kusini limejulikana kwa visa vya ujahili na ukosefu wa usalama kwa miongo kadhaa. wengi wamepoteza maisha yao wakiwemo kina mama na watoto pamoja na wasafiri wanaoshambuliwa kwenye barabara ya mukutani - marigat. mwaka wa 2017 watu 11 waliuwawa kwa kupigwa risasi na kusababisha eneo hilo kuwa mahame. kwa sasa wakaazi wa eneo hilo wametenga ardhi ya ekari 13000 kuwa msitu kama njia ya kukabiliana na ukosefu wa usalama. mwanahabari wetu labaan shabaan na taarifa hii kwa kina

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya