- 8,214 viewsDuration: 6:41Kifo cha Raila Odinga kimeacha pengo kubwa katika siasa za Kenya. Raila alikuwa mlezi wa kisiasa aliyeunda kizazi cha viongozi. Mustakabali wa wale aliowalea sasa uko kwenye njiapanda. Sasa nguvu ya chama cha ODM bila Raila imetia shaka. Baadhi ya mayatima ni Sifuna, Abdulswamad Nassir na Gladys Wanga. Wengine ni Junet Mohamed, John Mbadi, na James Orengo. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __