Mpango wa masomo ya kidijitali waanzishwa kwa wanafunzi wadogo eneo la Tatu City.
Wanafunzi wafunzwa misingi ya akili bandia (AI) na programu.
Mahafali ya kundi la kwanza yafanyika baada ya wiki 13 za mafunzo.
Wito wa kuwekeza katika ubunifu wa teknolojia kwa vijana.
Mafunzo ya kidijitali yatajwa kuwa chachu ya ajira na uvumbuzi.
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__