Katika mahojiano maalum na mwandishi wa VOA Paul Ndiho, mjini Accra, Ghana, wikiendi Rais-mteule wa Ghana John Mahama anaeleza dira yake katika kuboresha elimu kwa ajili ya vijana wa Ghana. Anafafanua kuhusu swala la elimu kutolewa bure nchini Ghana. Endelea kusikiliza…
#ghana #accra #raismteule #johnmahama #dira #elimu #vijana #elimubure #voa #voaswahili
7 Aug 2025
- The United Nations is set to expand its base in Kenya as Agencies, Funds and Programmes relocate some of their regional and global operations to Kenya.