- 258 viewsKatika eneo linalopambana na changamoto za afya na kukumbwa na vita, waandishi wa kubaini habari za uongo katika jarida la Eleza ukweli mjini Goma, DRC, wanatafuta habari za ukweli kuhusu fikra zinazoambatana na ugonjwa mpox ambao awali ulikuwa unajulikana kama ugonjwa kutoka kwa nyani. Habari za uongo zinasema kwamba ugonjwa huo haupo kabisa na kwamba yanayosemwa ni upele tu ambao hauna madhara. Aline Kataliko anasema kazi yao ni muhimu sana kwa afya ya umma na katika kujenga imani katika jamii. Aline Kataliko wa Eleza Fact: 'Kuna uvumi kuhusu mpox, unaosema kwamba lengo la chanjo ni kuondoa kizazi cha raia wa Congo. Tunaangazia hatari za uvumi huo na namna unavyoweza kuathiri jamii yote kwa jumla na kuzuia juhudi za kumaliza maambukizi." Tangu mwaka 2021, waandishi wa habari 25 katika jarida la Eleza ukweli, akiwemo Joel Alimasi Kitambala, wamekuwa wakiangazia na kueneza habari kuhusu hatari za habari potofu. Joel Alimasi Kitambala ni mwandishi wa habari katika Eleza Ukweli. Joel Alimasi Kitambala wa Eleza Fact: Kutambua ukweli, tunatumia maneno muhimu na kila wakati kuna chapisho ambalo lina maneno hayo, tunapata taarifa kuhusu chapisho hilo. Kama kuna hja ya kuchambua jarida hilo, waandishi wa kutafuta ukweli wanapewa jukumu wanaolifanyia kazi. Makala yanayochapishwa na Eleza ukweli, yanachapishwa kwenye wavuti, na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kutangazwa kwenye vituo vya radio ili kuwafikia wale wasiotumia internet. #habaripotofu #drc #goma #waandishi #voa #voaswahili
Waandishi wakabiliana na habari potofu kuhusu chanjo kuondoa kizazi na athari kwa jamii
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - 2025 08 09 21 18 16 ››
- 10 Aug 2025 - Energy Principal Secretary Alex Wachira has said that electricity vandals were on the rise thereby causing economic sabotage in the country disrupting services and endangering communities and hence called on security to put efforts in tackling the vice.
- 10 Aug 2025 - India shot down five Pakistani fighter jets and one other military aircraft during clashes in May, India's air force chief said on Saturday, the first such statement by the country months after its worst military conflict in decades with its neighbour.
- 10 Aug 2025 - Haiti's former national palace security chief, Vladimir Paraison, was appointed national police chief by the country's transitional government on Friday, as the Caribbean nation looks to battle armed gangs that have displaced over a million people.
- 10 Aug 2025 - The commerce department has started issuing licenses to Nvidia to export its H20 chips to China, a U.S. official told Reuters on Friday, removing a significant hurdle to the AI bellwether's access to a key market.
- 10 Aug 2025 - Colombian president Gustavo Petro announced Friday the start of fresh talks with Clan del Golfo, the country's largest drug-trafficking gang and the world's largest producer of cocaine.
- 10 Aug 2025 - 'Dr Aden' fears journos' questions more than a cold July morning
- 10 Aug 2025 - How Ruto's goofs created a US-China dilemma
- 10 Aug 2025 - Trump's hand in relocation of UN bodies from New York to Nairobi
- 10 Aug 2025 - Ruto and allies flirting with danger by chest thumping about 2027 poll
- 10 Aug 2025 - Which way to resolve late funds disbursement to counties?