'Rekodi yangu ya kwanza ya live ilipotoka, watu walijua ni Muafrika Kusini anaimba kiswahili, ilikuwa nzuri sana'
John Lisu @johnlisu ni mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania anayeheshimika kwa uimbaji na utumbuizaji wa majukwaani. Amekuwa akitoa huduma ya kiroho kupitia nyimbo za injili kwa takribani miaka 31.
@johnlisu anatajwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa muziki wa injili majukwaani nchini Tanzania. Je alianzaje? hapa anafafanua
#bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
12 Jul 2025
- Four crew members of a cargo ship attacked and sunk by Yemeni rebels earlier this week are presumed dead, an EU naval force said Friday, with search operations ongoing in the Red Sea.